KAMATA
FURSA AMBAYO HAITAKUPOTEZEA MUDA
RIFARO AFRICA ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye
lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa
hewani anaoutumia kwa kumuingizia kipato.
Kampuni hili ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia
kazi mwaka 2014 mara baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na
utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba uko sahihi.
BIDHAA
Kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani yaani AIRTIME bidhaa
ambayo katika hali ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama raha bado
tunaitumia sana. KUMBUKA SIMAANISHI KUA UNAKUWA MUUZA VOCHA BALI KWA MATUMIZI
YAKO BINAFSI NA UNALIPWA.
MFUMO
Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao yaani Network
marketing. Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na
kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo,
uwepo usiwepo biashara yako huendelea kuwepo. Rifaro wameuweka
mfumo huu katika vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1-15 kwa uwiano tofauti
kulingana na kizazi kwa kizazi.
AINA ZA MALIPO
Malipo ya wiki
Haya ni malipo yanayotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana na
washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha kwanza hadi kumi na tano.
MALIPO YAPO HIVI
Kizazi 1: 20000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja Kizazi 2:
8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/= Kizazi 5: 5000/= Kizazi 6:
3000/=
Kizazi cha 7 hadi 15
utalipwa 2000 kwa kila kizazi.
Mfano kwa mwezi
ukaingiza watu 10 na kila mtu kati ya hao
10 akaingiza watu 10 inaweza kuwa hivi.
1)
20000x10= 200000
2)
8000x100=800000
3)
5000x10000= 5m
4)
5000x10000= 50m
5)
5000x100000= ni zaidi ya 500m
MTAJI
Kama zilivyo biashara nyingine, hii pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128, 500
na utapatiwa DVD, ATM card (yenye 2000 ndani yake), kitabu cha biashara,website
(kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote) salio vocha
5000 na namba ya mwanachama.
Kwanini mtu anahitaji
kujiunga na kampuni ya rifaroafrica?
·
Unalipwa fedha kwa miaka yote na hata
baada ya muda wako wa kuishi.
·
Rifaro ina hadhi kubwa kwa sababu
imeaminiwa na hata kufanya kazi kwa kushirikiana na makampuni ya simu nchini,
yanayomiliki uchumi wa Tanzania.
·
Inafanya kazi na selcom, kampuni kubwa
duniani.
·
Rifaro inatumia ATM visa card yake
wakati yenyewe sio benki.
·
Rifaro ina ofisi kila mkoa, kila wilaya
nchi nzima.
·
Rifaro ni halali, imesajiliwa kisheria
na mamlaka zote, TCRA, BRELA na TRA.
·
Rifaro in mawakala wa selcom machines
kila kona ya nchi ya Tanzania.
·
Rifaro ni pekee kukufanya ulipwe kwa
kutumia simu yako kutatua matatizo yako mwenyewe.
Una hofu gani? Unasubiri
nini? Jiunge sasa na rifaro, urithi pekee kwa mwanao na vizazi vyako maana
ajira yako, biashara yako na cheo chako havirithishwi ng’o line zako na
biashara yako ya rifaro inarithishwa.
Karibu ujiunge kwa
mawasiliano zaidi, wasiliana na mimi DICKSON SWALO kupitia
0752642389 au
0673642389